MCHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Simon Msuva, amewaahidi mashabiki wa timu hiyo na Watanzania kwa ujumla ...
King Kikii amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Miaka 10 iliyopita---Jumamosi Oktoba 11, 2014 jabali hili la muziki wa dansi ...
Uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika chini ya kanuni zinazoweka masharti ya uteuzi wa wagombea na sababu za kuenguliwa.
Grace Mwakamele asili yake ni kutoka Jiji la Mbeya, lakini amekulia mitaa hiyo ya Keko Magurumbasi, kitongoji maarufu zaidi ...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Ubunifu wa Afrika Kusini, Dk Bonginkosi Nzimande amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa teknolojia ya anga kati ya Tanzania na Afrika Kusini. Dk Mzimande ...
LIGI Kuu Bara kwa sasa imesimama kwa muda wa kama wiki mbili kupisha kalenda ya Fifa kwa mechi za kimataifa za timu za taifa, huku zikiwa zimeshachezwa jumla ya mechi 81 na kufungwa mabao 164.
Tanzania ni miongoni mwa nchi barani Afrika inayozungukwa na vivutio vingi vya utalii na vingine inawezekana hata havitambuliwi na wenyeji. Ziwa Ngosi yawezekana kuwa ni miongoni mwa vivutio hivyo.
Kufuatia hali hiyo, Shaibu amesema kiongozi wa chama chao Dorothy Semu aliwasiliana na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD ... takriban asilimia 40 ya nchi ikiwa chini ya udhibiti ...
Riyadh imezialika nchi 22 za Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na madola hamsini yaliyokusanyika ndani ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu siku ya Jumatatu Novemba 11, 2024. Mkutano unaohusu migogoro ...
kuisaidia kushinda vita dhidi ya Urusi na kuzishawishi nchi wanachama wa NATA pia kuendeleza msaada wao. Inatokea sasa hivi ...
Serikali ya China imesema Rais Xi Jinping atasafiri kwenda Amerika Kusini kuhudhuria mikutano ya viongozi wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki, APEC na Kundi la Nchi 20 ...
serikali ya Ufilipino ilipitisha sheria inayosisitiza ukubwa wa maeneo ya majini ya nchi hiyo, miongoni mwa mambo mengine. Wizara ya Mambo ya Nje ya China iliitikia vikali, ikidokeza uwezekano wa ...